Upasuaji wa plastiki yaani Plastic surgery ni biashara ya faida kubwa sana siku hizi; hii ni kutokana na idadi kubwa ya wasichana ambao wanataka kila kitu kubwa, macho yao, butts yao, boobs yao na midomo yao.Kwa
mujibu wa plasticsurgery.org nchini Marekani peke yake, watu 290,000 walifanyiwa upasuaji wa kifua, 216,000 na upasuaji wa ukope
na 133,000 facelifts. ni idadi ya kushangaza kabisa.
Kiu ya upasuaji wa plastiki inazidi kuenea polepole barani Afrika na nchi
nyingine za dunia ya tatu, na wasichana wengi wa Afrika hufanya upasuaji nyuma ya nyonga yani hips wakiwa na imani ya kuwateka zaidi wanaume, Lakini mwanamuziki Amani kutoka nchini Kenya ameongeleaje suala hili la kuogofya???
wanawake wajikubali kwa vile walivyoumbwa, mara moja utaweza kutana na mwanaume anaependa makalio makubwa, utayaongeza, tena waweza kutana mwingine anayependa matiti makubwa, utayaongeza, tena mwingine akipenda kingine utabadili na mwishowe utajikuta unakuwa tofauti kabisa na ulivyoumbwa, utapoteza thamani yako!!!
0 comments:
Chapisha Maoni