Jumatatu, Juni 09, 2014

MREMBO AVUNJA SHINGO NA KUFARIKI DUNIA ALIPOKUWA AKICHEZA MUZIKI JUU YA SPEAKER

Nimetumiwa story hii na chanzo ambacho hakikujitambulisha, na ni stori iliyoambatanishwa na picha, ni story ya binti aliyevunjika shingo yake na kufariki katika tamasha la kucheza muziki mitaani (street dance) katika mitaa ya Jamaica weekend weekend iliyopita.
Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa binti huyo alikuwa ni dancer wa muziki katika style ya acrobatic dance na alikuwa akicheza kicha chini miguu juu juu ya speaker ndipo alidondoka na kuvunja shingo kisha kupoteza maisha.
Kila mtu alishtuka alipodondokea kichwa
Baadhi ya watu walikwenda kumuinua lakini tayari alikuwa amekata roho...too sad!

0 comments:

Chapisha Maoni