Ijumaa, Juni 06, 2014

MISS TZ AKUTWA AKINYONYANA DENDA NA MUME WA JACK PATRICK

MISS Tanzania 2011, Salha Israel na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira picha zao zimenaswa wakidendeka kwa raha zao.
Baada ya mapaparazi wetu kuzinasa picha hizo kwenye mitandao ya kijamii, walimtafuta Salha na hakupokea simu lakini alipotafutwa Abdullatif na kuulizwa kulikoni? Alitiririka:
Mh! Kwa sasa sina jibu ila ipo siku kila kitu kitakuwa kweupe msiwe na haraka.

0 comments:

Chapisha Maoni