Mji wa Dodoma unakua kwa kasi kubwa, ofisi za serikali na taasisi zisizo za kiserikali zinajengwa kwa wingi.
Wafanyabiashara nao hawapo nyuma wakiwamo wanaonadi miili yao kama
bidhaa. Hawa ni maarufu kwa majina kama vile makahaba, machangudoa na
dada poa.
Kimsingi, wauza miili
wanavutiwa na mengi mjini Dodoma, ikiwamo ongezeko la watu
linalosababishwa na kuwepo kwa taasisi za elimu ya juu.
0 comments:
Chapisha Maoni