Jumanne, Juni 24, 2014

KIKWETE AONGELEA LENGO LA KUIMARISHA TUME YA MAADILI

Rais Jakaya Kikwete amesema lengo la kuimarisha tume ya maadili na uongozi hapa nchini ni kuhakikisha viongozi wanapatikana kwa kuzingatia misingi ya Demokrasia iliyo huru na haki si kutumia fedha kununua uongozi kwa kuwa kitendo kina madhara makubwa katika uongozi.
Rais Kikwete ameyasema hayo muda mfupi baada ya kupatia tuzo ya mchango wake wa maendeleo katika taasisi nane simamizi kwa kuimarisha uwazi, uadilifu, na uwajibikaji katika utawala bora halfa ambayo imefanyika jijini Dar es salaam.

0 comments:

Chapisha Maoni