Baada ya kuendesha Beef kwa muda wa miaka mitano dhidi ya kituo cha
radio cha Clouds fm hatimaye waliokua wakiongoza kundi la wasanii
wanajiita Vinega wa Anti Virus "Mapacha" jana tarehe 23 mwezi wa sita
2014 wameandika historia kwa kuweka mapanga chini na kutambulisha wimbo
wao walioupa jina la its time for the money (Muda wa kutengeneza Pesa na
sio Beef)
Wasanii hao ni ndugu waliozaliwa Mapacha na huwa wanafanya Muziki wao kwa pamoja ndani yake kuna "K-Wa Mapacha" na "D-Wa Mapacha"
Mapacha walipata exclusive interview ndani ya kipichi cha XXL na watangazaji wa kipindi hicho (B-12, Adam Mchomvu na Dj Fetty) walipo jaribu kuwauliza kwanini walitunga Mixtape mbili kuwa diss watangazaji wa clouds fm na kwanini walikua wanawapa vitisho vya kuwadhuru mtaani? Mapacha walikiri kuwa mwanzo walikosea na lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho ndio sababu wakaamua kuomba suluhu ili kuyajenga kama zamani ambapo nyimbo zao zilikua zinachezwa sana na kuwafanya kuwa moja kati ya Mastar wanaoingiza mkwanja mrefu kutokana na muziki kama wasanii wengine wa sasa, Mapacha wakaongeza kuwa hawaoni aibu kwa uamuzi huu wa sasa kama watu wanavyofikiria na kama kuna vinega wengine wanawachukia kwa uamuzi huu basi wao binafsi hawajali wanachoangalia ni maendeleo ya maisha yao.

0 comments:
Chapisha Maoni