Ilikuwa ni siku ya juma mosi, kama kawaida yangu huwa napenda
kuogelea, nilienda beach moja maarufu sana hapa jijini dar es salaam,
nikiwa upande wa swimming pool, nilimuona msichana mmoja mrembo sana
aliyekuwa mwenyewe akiogelea, tulivutiwa nae ila sikuweza kuongea nae
chochote kwani sikuwa najiamini niliona kama sina hadhi hata ya
kumsalimu wakati naoga nilisikia kelele , kuangalia vizuri ni yule
binti, alikosea akaja kwenye kina kirefu cha swimming pool maji yaka mshinda akaanza kuzama.
Nilipoona vile nilienda nakumshika mmko huku akining'ang'ania kwa nguvu
akiogopa kuzama, nilifanikiwa kumtoa nje. watu walipoanza kujaa aliamka
nakujifanya kama hakuna lililotokea kwani hakutaka watu wengi kumjalia
pale. Aliamka na kuoneka ahuko sawa tu. Alinishukuru sana na baadae
akaniomba nijiunge nae siku ile. tulikaa eneo lile mpaka majira ya saa
nne hivi usiku
Baadae
tuliondoka pale akanipa lift na kunishusha kwangu kijitonyama, alipofika
tu kwake alinipigia simu nakuendelea kunishukuru kwa yote. Basi
mawasiliano yaliendelea hadi siku moja nakumbuka ilikuwa weekend
alinipia simu nakuomba kuja kunisalimu, alipitia kwangu majira ya jioni
hivi nikamkaribisha , alifungua mwenyewe fridge nakujimiminia mvinyo
huku tukiendelea na story. Baada ya muda alianza kulewa na akaonekana ni
mtu aliyechoka sana nilimkaribisha chumbani na kujitupa kitandani, na
mimi nilijongea kumpa kampani. Nilianza uchokozi na mwishowe tukala
tunda.
Baada ya tendo hilo, alipumzika kidogo nakuondoka, mapenzi yetu yaliendelea kwa muda wa miezi mitatu, Siku moja tulikubaliana twende beach kule kule tulipo onana nilichelewa kidogo kufika nikakuta yeye tayari yuko pale ananisubiri, alifurahi kuiona tukaka wote pale kwa muda sana.
Ilipofika jioni alipigiwa simu akawa ni kama mtu mwenye wasi wasi, huku akiongea na simu kwa woga kidogo, nakujielezea alipo huku akisema yuko sinza. Mmmh mi nikashtuka kidogo nakujiuliza kwa nini anadanganya na anaonekana mwenye wasiwasi. Mara tu akatokea jamaa mmoja
mrefu aliyeonakana mweye hasira nakumuambia mpenzi wangu tuondoke, hukua akimuuliza kwa ukali kwanini unanidanganya, nakufanyia kila kitu na bado unanidanganya.
Niliogopa sana yule jamaa akanimbia

dogo ondoka kabla sijakumalizaniliamka nakutoka nje nikachukua pikipiki na kurudi nyumbani. Kesho yake asubuhi yule msichana alinipigia simu akiniomba msamaha kwa yaliyotokea huku akidai yule ni mpenzi wake ila hampendi yuku tu nae kwasababu anamsaidia. Nikam
0 comments:
Chapisha Maoni