Hii ni kawaida kwa watu wote tuliopo chini ya jua, kila mtu huwa na mwanzo mgumu ili kufikia mafanikio tunasema 'started from the bottom' sasa hili pia linatukumbusha kule alikoanzia muasisi wa taifa la Kenya na rais wa kwanza wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta ambaye ni baba mzazi wa rais wa sasa wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
Sasa leo hii kupitia Fichuo TZ nakufahamisha juu ya hili, zamani kabla Jommo Kenyatta kuwa rais wa nchi ya Kenya, aliwahi kuwa mcheza filamu, na alicheza kama kiongozi wa kikabila katika filamu iitwayo 'Sanders of the River' ilikuwa ni. Na alisema kuwa sababu iliyomfanya acheze movie ni kwakuwa alikuwa akitafuta kazi. Hapa unaweza kumuona hayati Jommo Kenyatta katika moja ya shot ndani ya movie hiyo akiwa bado kijana, ni watatu kutoka kulia:
Movie inamhusu muingereza ambaye alikuwa ni Mkuu wa Wilaya kipindi chaukoloni nchini Nigeria, Sanders (Leslie Banks) ambaye anajaribu kutawala wilaya yake kinyume na haki tofauti na wakoloni wengine. Aina yake ya tofauti ya kazi ililenga kumpatia heshima zaidi kutoka makabila ya asili na mshirika wake, Bosambo.
Wakati Sanders akiwa katika mishemishe zake nje na nyumbani, kuna ambayo yanaendelea baina ya vita vya kikabila na mke Bosambo anatekwa nyara. Sasa nani wa kuokoa jahazi? Angalia Bosambo na Kenyatta katika 'ACTION' hapa chini:
Wakati Sanders akiwa katika mishemishe zake nje na nyumbani, kuna ambayo yanaendelea baina ya vita vya kikabila na mke Bosambo anatekwa nyara. Sasa nani wa kuokoa jahazi? Angalia Bosambo na Kenyatta katika 'ACTION' hapa chini:
0 comments:
Chapisha Maoni