Kuna taarifa ya kutokea mlipuko na mlio mkubwa mithili ya bomu umetokea maeneo ya Darajani karibu na msikiti na kujeruhi Wahadhiri waliokuwepo katika msikiti wa Darajani mara baada ya kumalizika Swala ya Isha.
Mlipuko huo unasemekana umetokea katika gari ambalo wangelitumia wahadhiri waliokuwa katika Muhaadhara ndani ya Msikiti. Kuna taarifa kwamba mtu mmoja mpaka sasa amepoteza maisha.

0 comments:
Chapisha Maoni