Ikiwa ni Takribani Miaka Minne Tangu Kuanza Kutekelezwa Kwa Sera ya Kuboresha Huduma za Afya Kupitia MMAM Inayoelekeza Kila Kijiji Kuwa na Zahanati na Kata Kuwa na Kituo cha Afya Lakini Bado Baadhi ya Vijiji na Kata Wilayani Njombe Zimeshindwa Kutekeleza Sera Hiyo.
Miongoni Mwa Vijiji Vilivyoshindwa Kutekeleza Sera Hiyo ni Kijiji cha Welela Ambacho Hakina Zahanati Wala Kituo Chochote cha Kutolea Huduma za Afya Hali Inayowalazimu Wakazi wa Kijiji Hicho Kusafiri Umbali wa Kilomita Nne Kufuata Huduma za Afya Katika Kijiji Jirani cha Sovi.
Wakizungumza Baadhi ya Wanakijiji Hao Wamesema Licha ya Kukosekana Kwa Huduma za Afya Pia Wanakabiliwa na Changamoto ya Huduma ya Maji Safi na Salama Pamoja na Miundombinu ya Barabara, Kama Wanavyoeleza.
Kwa Upande Wake Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Welela Thomas Mwinami Amekiri Kuwepo Kwa Changamoto Hizo Huku Akiwaomba Wanakijiji Hao Kuendelea Kushirikiana na Serikali ya Kijiji Chao Ili Kutatua Changamoto Hizo.
Kwa Sasa Kijiji cha Welela Kina Tekeleza Miradi ya Ujenzi wa Madarasa ya Awali, Ukarabati wa Madarasa na Nyumba za Walimu.

0 comments:
Chapisha Maoni