Jumapili, Mei 25, 2014

WASANII WASUSIA AROBAINI YA MZEE GURUMO

IDADI kiduchu ya wasanii waliohudhuria 40 ya nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Maalim Muhidin Gurumo leo imeonyesha dhahiri kuwa wasanii wengi wameingia mitini. Arobaini hiyo imefanyika leo mchana nyumbani kwa marehemu Mabibo jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Chapisha Maoni