Mfululizo wa matukio ya fujo katika viwanja vya michezo yameendelea kutokea baada ya tukio lingine kutokea nchini DRC ambako takribani watu 15 wamepoteza maisha wakati 21 wakijeruhiwa baada ya vurugu kuibuka uwanjani mjini Kinshasa, DRC baada ya polisi kulipua mabomu ya machozi kwa mashabiki. Vurugu hizo ziliibuka wakati wa mechi kati ya ASV Club na Tout Puissant Mazembe (TP Mazembe).




0 comments:
Chapisha Maoni