Jumapili, Mei 18, 2014

VIDEO MPYA YA WIMBO MPYA WA OMMY DIMPOZ-NDAGUSHIMA

Unazipenda kazi za Ommy Dimpoz? basi ni time yako kupitia Fichuo Tz kuangalia video ya kazi yeke mpya aliyoipa jina la 'Ndagushima'...ni official video, ofcoz ni bonge la video, nnaimani kuwa utaipenda sana kama nawe ni mpenzi wa good music kutoka wa wasanii wa nyumbani Tanzania, ni maboresho makubwa sana ameyafanya baada ya lawama nyingi alizozipata after 'me and you' aliyoifanya na Vanessa Mdee au V-Money watu walipodai kuwa hakuitendea haki video yake...hii hapa chini

0 comments:

Chapisha Maoni