Jumapili, Mei 18, 2014

KWA MAKOSA HAYA, JINI KABULA AMEJIFUNZA

Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa amejifunza kutokana na makosa hivyo hawezi kuzaa tena nje ya ndoa.
Jini Kabula ambaye anabanjuka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Ruta Maximilian Bushoke, alitiririka:
Nilizaa na Mr Chuz (Tuesday Kihangala) nje ya ndoa lakini kwa sasa nimekoma maana siwezi kutenda dhambi kwa mara ya pili.

0 comments:

Chapisha Maoni