Alhamisi, Mei 01, 2014

USIYOYAJUA KUHUSU FAINALI YA EUROPEAN CUP YA REAL MADRID VS ATLETICO MADRID

  • Atletico Madrid v Real Madrid itakuwa ni fainali ya kwanza ya mashindano ya European cup kuzikutanisha klabu mbili zinazotokea katika jiji moja. Atletico Madrid na Real Madrid zinatokea katika jiji moja la Madrid nchini Uhispania.
  • Ni miaka 40 ambayo iliitenganisha Atletico kutinga katika fainali mbili za European Cup (1974 na 2014) ikiwa ni miaka miwili zaidi ya ile miaka 38 ya kusubiri ya Inter Milan (1972 na 2010)
  • Itakuwa ni mara ya 17 ambazo timu mbili kutoka nchi moja kukutana kwenye fainali.
  • Kuna matokeo ya mwisho ambayo timu za Uhispania zimecheza fainali ya Champions League ambapo Real Madrid iliichapa Valencia 3-0 katika msimu wa 1999-2000

0 comments:

Chapisha Maoni