Iwapo itatokea una kila dalili za homa ya Dengue, Dawa ya kukimbilia
kwanza ni Panadol; Inashauriwa usijaribu/Usimeze kabisa Dawa aina ya
Diclopar wala Diclofenac. Iwapo utameza dawa hizi,Utakuwa kwenye
uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha.
Upatapo taarifa hii mjuze na Mwenzio.
Imetolewa na Wizara ya Afya.
Upatapo taarifa hii mjuze na Mwenzio.
Imetolewa na Wizara ya Afya.
0 comments:
Chapisha Maoni