Jumamosi, Mei 03, 2014

STAA WA FILAMU ZA NGONO NIGERIA AJIANIKA TENA

Mwigizaji wa kike toka nchini Nigeria ambaye pia anaongoza kwa kucheza filamu za ngono, Afrocandy amefungua website nyingine ambayo itakuwa ikitangaza shughuli zake baada ya kushindwa kuiendesha ile ya awali kutokana gharama za kuifanyia maintainance, baada ya kuilaunch ameanza kuitangaza kwa kutweet na na kushare picha iliyopo hapa chini...



0 comments:

Chapisha Maoni