Alhamisi, Mei 01, 2014

PENNY AICHAFUA INSTAGRAM KWA PICHA TATA


Kila mtu siku hizi akitaka kuhit ama kukaa katika headlines za media mbalimbali anachofanya ni kwenda instagram na kuwe ka picha za utata katika pozi tofauti tofauti na kusubiri impact yake, na hivi sasa imekuwa ni zamu ya aliekuwa mpenzi wa Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' mtangazaji na meneja wa vipindi wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mwingila aka VJ Penny akiwa katika pozi kwenye picha alizotupia kwenye mtandao wa Instagram.

0 comments:

Chapisha Maoni