Ijumaa, Mei 02, 2014

NYOTA WA PICHA ZA UTUPU 'RAYUU' SASA ATAKA MUME WA KUMUOA

Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi "Rayuu" amefunguka na kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa kumuoa ili naye awe katika ndoa na aachane na maisha ya ukapera maana kwa sasa yanamuelemea na kila aonapo watu walio olewa jinsi wanavyoishi na wanaume zao basi na yeye anatamani sana maisha hayo Akifunguka Rayuu alisema 
natafuta mwanaume wa kuniweka ndani ambaye atakuwa mkweli atanipenda kwani nimechoka maisha ya kisela nataka niwe mke halali wa mtu tena mwanaume atakayekuja kwangu nitampenda sana
Pia aliongezea kwa kusema 
mimi ni binti mzuri tena sana

0 comments:

Chapisha Maoni