Alhamisi, Mei 08, 2014

MUONEKANO MPYA WA ROUND ABOUT YA MTAA WA CONGO DAR ES SALAAM NI HATARI

Sasa kama uko mbali na mkoa wa Dar es Salaam na maeneo ya jijini Dar esSalaam hatimaye ile sehemu iliyotajwa tangu awali kuwa itakuwa na muonekano wa kipekee namaanisha Round About iliyopo jijini humo maeneo ya mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam, imekuwa ni eneo lenye muonekano wa kuvutia kupita kiasi. Hakika kuupamba mji kunahitaji ubunifu wa hali ya juu na kuumiza akili, pongezi kwa wabunifu waliobuni muonekano huo.

0 comments:

Chapisha Maoni