Leo katika bunge la bajeti mjini Dodoma kumezuka jambo jipya ambalo limezua maneno mengi kutoka kwa wabunge tofauti hasa kutoka kwa wabunge walio na tiketi za Chama Cha Mapinduzi 'CCM' baada ya mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' kitoka Manyara bi. Pauline Gekul kusema kuwa serikali ya CCM ni serikali iliyochoka na isiyotosha.
Bi. Pauline Gekul ametoa hoja nyingi zenye kuelezea ni jinsi gani Chama Cha Mapinduzi ni chama kilichochoka...Tumia dakika 7 na sekunde 14 kuisikiliza Speech yake ya leo hapa, pia unaweza kuidownload sauti yake hapa..




0 comments:
Chapisha Maoni