Kama unapenda muziki wa kitanzania basi ni nafasi ya kipekee sana kwako kutazama wanamuziki wa kitanzania wakipokea tuzo zao za ubora baada ya kura zako, tiketi za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 zimeanza kuuzwa rasmi
Mlimani City Conference Centre kwa Sh 20,000 TU. Wahi sasa ili
uwashuhudie mastaa mbalimbali na wateule wakipokea tuzo katika usiku wa
tuzo utakaofanyika Jumamosi wiki hii katika ukumbi wa Mlimani City.
0 comments:
Chapisha Maoni