Jumatatu, Mei 19, 2014

HUYU NDIO KOCHA MPYA WA TIMU YA FC BARCELONA

BODI ya wakurugenzi wa timu ya FC Barcelona imethibitisha kuwa Mhispania Luis Enrique Martínez García ndiye kocha mpya wa timu hiyo.
Enrique mwenye umri wa miaka 44 aliyewahi kuichezea klabu hiyo akitokea kwa mahasimu wao Real Madrid mwaka 1996, atasaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu hiyo yenye maskani yake jijini Barcelona.

0 comments:

Chapisha Maoni