Jumanne, Mei 27, 2014

CHADEMA KUTIKISA CHUO KIKUU SAUT MWANZA

Dr.Wilbroad Slaa, Mhe.Tundu Lissu, Halima Mdee, Ezekiel Wenje, Highnes Kiwia na Viongozi waandamizi wa CHADEMA Taifa kufunika Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustino mnamo Tarehe 31/05/2014 siku ya Jumapili ijayo.
Nyote mnakaribishwa SAUT Mwanza kwenye Kongamano hilo, ukipata tangazo hili, tafadhari mjulishe na mwenzako.

0 comments:

Chapisha Maoni