NG’OMBE – TAURUS (APR21 – MAY 20)
Siku ya Ikiwa ndio umekwisha fikwa na tatizo lolote basi dhibiti au kubali makosa au kubali hasara mara moja kwani njia nyingine yoyote haifai.

MAPACHA - GEMINI (MAY 21- JUN 21)
Wiki hii utapata wasiwasi kuhusu safari kuhamahama au kuhamishwa na kufa. Inaonekana unataka kujua hali ya mpenzi au mtu aliyembali na barua, au mgonjwa au mashindano na mtihani. Pana kazi iliyokutoka au barua au kitu.
KAA - CANCER (JUN 22- JUL 22)
Siku ya leo Kazi utapata, mgeni yuko salama na mpenzi wako hajambo. Barua au salamu unazotarajia zitakufikia na mgonjwa atapona na hivi karibuni atakuja. Mchezo, mtihani au usaili( Inteview) utashinda
SIMBA - LEO (JUL 23 –AUG 22)
Siku ya leo adui yako ataaibika. Kila lililokutoka litarejea lakini lazima usafiri haraka na ndipo utakuta mafanikio yote unayoyataka. Utafanikiwa kwa nguvu za Mungu. Hata hivyo toa sadaka ya kitu chochote ijapo tende siku ya alhamisi.
MASHUKE - VIRGO (AUG 23- SEPT 23)
Siku ya leo Ukitaka kufanikiwa lazima utumie nguvu yaani upeleke mashtaka serikalini au kwa Mkuu, kabla hujaondoka upange na mkubwa wa hapo ikiwezekana akupe barua au ufanya mipango naye ndio utafanikiwa. Hakikisha mambo yako yote yajulikane na mkubwa huyo.
MIZANI - LIBRA (SEPT 24- OCT 23)
Siku ya leo unafikiria juu ya Kiongozi au Mkuu fulani au madaraka na mambo ya Kiserikali, Siasa na mali, ambayo yamekuharibikia. Pia pana jambo lililopotea au kazi na nyumba.
NGE - SCORPIO (OCT 24- NOV 22)
Siku ya leo lazima ujue kuwa kuwa jambo lolote unalolitaka hivi sasa litakuwa gumu au halipatikani au hata likipatikana ni baadaye. Ukijua hayo basi itakuwa ni Vyema. Elewa siku ya kutokea shida zako au mafanikio ni Jumatano au Mwezi wa nane.
MSHALE - SAGITARIUS ( NOV 23 - DES 21)
Leo unafikiria kuhusu nyumba, mke au mume au uchumba. Vile vile mambo ya kushirikiana au kazi na kipato. Naona una taabu na magomvi, unalaumiwa na ugonjwa unakutatiza. Pana habari ya kitu kuibiwa, hiyana, chama, Siasa au mikutano kuvunjika.
MBUZI - CAPRICORN (DES 22 – JAN 20)
Siku ya leo lazima ujue kuwa safari ukiwa nayo ni mbaya na mgonjwa yupo ndani ya shida kubwa. Kesi au michezo au mashindano ni mabaya kwako.
NDOO –AQUARIUS (JAN 21 – FEBR 19)
Leo Unashauriwa uache hiana na haraka, achana na huyo rafiki yako au mpenzi wako ana hiyana mbaya. Jambo lolote unalotaka kujua dawa yake uachane nalo. Kitu kilichopotea au kuibiwa hakipatikani.
SAMAKI – PISCES (FEB 20- MARCH 20)
Leo inaonekana una shaka kuhusu ugonjwa, wasiwasi, kifo, au pesa au kuondolewa kazini au mali kurithiwa au kuuzwa na kuwekewa rehani. Inafahamisha khiyana, taabu tupu, uhusiano mbaya, njia mbaya na unaota ndoto za kutisha.
PUNDA- ARIES (MACH 21- APR 20)
Siku ya leo unashauriwa uache kabisa kujiingiza katika mambo ya mapenzi kama ukitaka salama yako. Lazima ujue kuwa adui yako yupo macho na ana nguvu na lazima utanaswa au kufumaniwa.

0 comments:
Chapisha Maoni