WATU 42 wamepoteza maisha wakati 17 wakijeruhiwa baada ya basi la
abiria lililokuwa likielekea Karachi nchini Pakistan kugongana na trekta
lililokuwa na tela.
Miongoni mwa waliopoteza maisha ni watoto 14 na wanawake 13. Ajali
hiyo imetokea leo katika mji wa Sukkur, umbali wa kilomita 425 kutoka
Karachi.
Dereva wa basi amefariki papo hapo wakati wa trekta akijeruhiwa. Waliopoteza maisha wote walikuwa katika basi.
0 comments:
Chapisha Maoni