Jumatano, Aprili 30, 2014

MTANGAO WA INSTAGRAM WAMBWATUKIA RIHANNA KUTOKANA KUPOST PICHA CHAFU, WATISHIA KUMFUNGIA ACCOUNT

Rihanna alilazimishwa kuondoa picha zake chafu alizo post akiwa uchi kwenye mtandao wa Instagram baada ya mtandao huo wa kijamii kutishia kuifunga akaunti yake endapo hata fanya hivyo.
Wiki hii Rihanna amekuwa akiweka picha zake mbali mbali alizopiga katika photo shoot mbalimbali huku akiwa uchi sehemu karibu zote za mwili wake na kuziweka kwenye mitandao ya kijamaii kama Instagram na twitter.
Picha kama hizo zina kiuka sera na taratibu za tovuti ya Instagram kitu kama hiki pia kiliwahi mkuta "Madonna" na akajifunza haraka sana baada ya kukiuka taratibu za mtandao huu hapo mwaka jana.
Lakini kwa upande wa Rihanna yeye hakujali sana bali alichokifanya ni kuifuta na kwenda kuipost tena Kenye mtandao wa twitter.
Picha zenyewe zilizo zuiliwa na Instagram ni hiz hapa..

0 comments:

Chapisha Maoni