Jumatano, Aprili 16, 2014

MFAHAMU BINTI KUTOKA MWANZA TANZANIA ANAYETIKISA KATIKA VIDEO ZA MASTAA MAREKANI, ANAITWA CYNTHIA MASASI


Ni Video queen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani.Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini Marekani.Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross na wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft Rick Ross,Juelz Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see it ya Young Joc.

0 comments:

Chapisha Maoni