Jumatatu, Aprili 14, 2014

HUYU NDIYE BINTI ANAYEPATA RAHA YA NGONO MARA 50 KWA SIKU, MADAKTARI BADO WANAHAHA

Katika hali isiyo ya kawaida na imewashitua hata wataalamu wa afya duniani ni swala zima la binti huyu kwani kile anachokisema unaweza ukajua kama ameigiza lakini ukweli uko hivi...
Dada mmoja mkazi wa Florida, Amanda Gryce, 24, amekili kupata raha ya tendo la ndoa mara 50 kwa siku jambo ambalo madaktari walikuwa hawataki kuliamini walipoambiwa na dada huyo.
Dada huyo ameamriwa kuacha kabisa kujihusisha na ufanyaji wa mapenzi na alisema kuwa amekuwa akikumbwa na tatizo hilo la “Persistent Genital Arousal Disorder", tangu akiwa na miaka 6, tatizo ambalo ni kuwa na hamu ya tendo la ndoa muda wote bila kuwa na uwezo wa kujizuia.
"Haina raha kabisa, sasa imegeuka kama adhabu vile", Gryce alisema.
Ripoti zinasema kuwa, tatizo la dada huyo linaweza kushtuliwa na mshtuko wa besi ya muziki au hata akiwa anaendesha gari. Raha hiyo imesemwa kuwa haizuiliki na utokea mara 5 au 10 ndani ya saa.
Kwa sasa dada huyo yupo chini ya uangalizi wa Dr. Robert Echenberg kwa matibabu.

0 comments:

Chapisha Maoni