MWANADAFADA
mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa kwa sasa
yupo tayari kuigiza nusu utupu kwa sinema za nje ya nchi.
Akipiga stori mbili-tatu na kona hii, Batuli alisema kuwa muvi nyingi
Bongo huwa zinafungiwa kwa kukosa maadili na kwamba kama ikitokea nafasi
akaitwa nje ya nchi kuigiza sini hizo, atakuwa tayari.
Zamani nilikuwa nikiogopa kuigiza nusu utupu. Wenzetu Nigeria wameendelea na ndiyo maana wanaigiza hata nusu utupu, kama itatokea nafasi ya kuigiza huko (nje ya Bongo) nusu utupu, nipo tayari
alisema
Batuli.
0 comments:
Chapisha Maoni