Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo.Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa
Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu
Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20.
Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba - Barabara Kuu ya Chalinze-Segera.
0 comments:
Chapisha Maoni