Jumatatu, Machi 03, 2014

WAINGEREZA WAPINGA TOM CLEVERELY KUJUMUISHWA KATIKA TIMU YA TAIFA

Mashabiki wa timu ya taifa ya Uingereza wamekasirishwa na maamuzi ya meneja wa taifa hilo Roy Hodgson kumjumuisha Tom Cleverely katika kikosi cha sasa cha Uingereza, na wamefikia mbali kwa kukusanya saini zao kupinga kiungo huyo wa Manchester United kushiriki michuano ya Kombe La Dunia huko Brazil.

0 comments:

Chapisha Maoni