Jumatatu, Machi 17, 2014

MAKONDAKTA WACHAFU WAOGESHWA HADHARANI

Hii unaambiwa imetokea Kisumu Ndogo, Donholm nchini Kenya Ijumaa iliyopita. Makonda hao walilazimishwa kuoga hadharani kwa kile kinachaodaiwa kuwa walikuwa wananuka. Wateja wamekuwa wakilalamika kwamba makonda hawa wananuka na hivyo kuathiri biashara. Makonda hao waliogeshwa huku wadau wakishushudia na kuhakishiwa usafi kwa makonda itakuwa ni swala la lazima.

0 comments:

Chapisha Maoni