Hili kwetu wafichuzi wa mambo kupitia FICHUO TZ ni kosa kubwa sana! Ni tukio la kustaajabisha sana lililotokea wakati binti wa kitanzania alipokwenda kumtembelea mpenzi wake akiwa na mtoto wake wa kike mwenye umri wa karibu miaka minne
na kuingia nae mpaka chumbani kwa jamaa huyo na baadae kuanza kufanya mapenzi mbele ya mtoto huyo kwa kuwa kijana huyo alikuwa akiishi katika chumba kimoja tu alichopanga.
Pamoja na hayo suala si tu kufanya mapenzi mbele ya mtoto, bali kijana yuli alitega simu yake na kuendelea kurekodi tukio lote na baadaye kuzisambaza picha za uchafu waliokuwa wakiufanya.




0 comments:
Chapisha Maoni