Jumanne, Machi 04, 2014

50 CENT KAPOST TENA PICHA ILIYOMGOMBANISHA NA RICK ROSS & P DIDDY, ITAZAME HAPA

Mara ya mwisho 50 Cent aliwachokoza Rick Ross na P. Diddy kwa ku-post picha ambayo inaonyesha kama marafiki hao wanataka ku-kiss wakiwa kwenye hatua kupeana hug.
50 Cent amerudia tena kwa ku-post picha ile mwanzo ikiunganishwa na picha mpya ya P.Diddy akiwa na mdau wa muziki Steve Stoute.
Chini ya hiyo picha aliandika “I ain’t saying nothing, but something a
 
in’t right. Lmao.”
Aliandika hivyo ajaribu kuonyesha uwezekano wa hawa watu watatu kuwa na uhusiano ambao sio mzuri kati yao.
50 ali-post picha hiyo kwenye ukurasa wake wa instagram na kuitoa baada ya muda mfupi.

0 comments:

Chapisha Maoni