Chanzo makini kilipenyeza ‘upupu’ huo ambao umefafanuliwa na Steve
Nyerere kuwa ukaribu wa Lulu na bosi huyo umetokana na kazi kwani yeye
na Lulu wameingia mkataba hivyo walitegemea kusikia manenomaneno.
Lulu alipotafutwa kuhusiana na ishu hiyo, alitiririka: “Wabongo
wanapenda sana kuzusha mambo, sijawahi kuwa na mwanaume anayeitwa
Johnson zaidi ya kuwa bosi wangu.”
0 comments:
Chapisha Maoni