Jumapili, Februari 09, 2014

ALICHOKISEMA ROONEY KUMHUSU MOYES

Mchezaji wa timu ya soka Manchester United, Wayne Rooney ameongea mbele ya waandishi wa habari nakusema kuwa: "Moyes ni meneja mzuri na wakushangaza . amefanya kila kitu kwaajili ya timu, lakini wachezaji wanatakiwa kupigana kufa kupona ili wahakikishe wanafanya vizuri, na ninauhakika tutafanya hivyo."

0 comments:

Chapisha Maoni