Mh. Juma Ngasongwa alipata ajali jana jioni na kupelekwa hospitali ya
Tumbi kwa matibabu. mheshimiwa Ngasongwa amenusurika kifo baada ya gari
alilokuwa akiliendesha yeye mwenyewe kutoka Dar Es Salaam kwenda
Morogoro kugongana na Lori la kampuni ya Tanesco Kibaha Picha ya Ndege
Mkoani Pwani. Hali ya Mh Ngasongwa inaendelea vizuri.
0 comments:
Chapisha Maoni