Jumapili, Oktoba 20, 2013

WEMA AKANA KUMWEKA DIAMOND KICHWANI, ADAI ANAWAZA PESA TU


 Wema Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha. Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba muda wote anafikiria pesa.

0 comments:

Chapisha Maoni