Ijumaa, Septemba 06, 2013

WABUNGE WATOKA TENA BUNGENI NA KUSUSIA KIKAO

Wabunge zaidi ya 20 wamesimama kwa mujibu wa sheria lakini Jenista Muhagama akaandika majina na kutowapa nafasi, akitaraji kuwapa nafasi mwishoni! Cha ajabu hajui wanataka kuzungumzia nini. Wametoka nje ya ukumbi. Mbunge wa CUF mwanamama
Mwituka na John M. Shibuda wa CHADEMA, Dr. Augustine Lyatonga Mrema wabaki ukumbini

0 comments:

Chapisha Maoni