Jumamosi, Septemba 07, 2013

HII NDIO TASWIRA YA TAMASHA LA FIESTA JIJINI MBEYA JANA USIKU

Wakazi wa jiji la Mbeya katika uwanja wa Sokoine
Jukwaa lililotumika katika Fiesta jana usiku na ni Walter Chilambo aliyefungua pazia la burudani
Wapenzi wa muziki wakitoa heshima kwa wanamuziki waliotangulia mbele ya haki kwa kuwasha tochi za simu zao


Shilole kazini

Rich Mavoko na madancer wake

Stamina na Young Killer

DJ Zero wa Clouds Fm

Walter Chlambo mshindi wa EBSS 2012

Cassim

0 comments:

Chapisha Maoni