Utafiti mpya unaonyesha kwamba Uganda na Tanzania zinasalia nyuma kuripoti matukio ya ufisadi kanda ya Afrika mashariki .
Ripoti hiyo kwa jina ‘Corruption reporting in East Africa” inaonyesha kwamba Rwanda inaongoza kwenye juhudi za kupamba na ufisadi ikifuatiwa na Burundi.
0 comments:
Chapisha Maoni