Kifo cha Faru John kutoka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele jijini Dar es Salaam leo.
Tume iliyoundwa kwa ajili ya kuchunguza kifo cha Faru John imethibitisha kuwa Faru huyo alikufa katika eneo la Sasakwa.
Grumeti kutokana na kukosa matunzo, uangalizi wa karibu na matibabu alipoumwa.
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali Prof.SamwelManyele Kwenye ripoti ya uchunguzi wa Kifo cha Faru John akikabidhi kwa Waziri Mkuu.
0 comments:
Chapisha Maoni