Kwa mujibu wa habari kutoka The Guardian, Kocha wa klabu ya Chelsea Antonio Conte ana malengo ya kumsajili mchezaji wa Arsenal Alexis Sanchez majira ya joto.
huyo ambaye kwa sasa anafanya mazungumzo ya mkataba mpya na klabu yake na ameshafanya mjadala kuhusu maswala ya uhamisho na uongozi wa klabu ya Chelsea, hivyo yupo mstari wa mbele kumpata mchezaji huyo raia wa Chile anayetaka kuondoka Emirates majira ya joto.
Alexis amekerwa na kikosi cha Arsenal kisicho na maendeleo, pia anatakiwa na PSG, Juventus na Inter Milan.
0 comments:
Chapisha Maoni