Jumapili, Machi 19, 2017

MAAMUZI YA CLOUDS BAADA YA KUVAMIWA NA RC MAKONDA

Kumesambaa taarifa haswa katika mitandao ya kijamii kuhusu ishu iliyotokea siku ya Alhamis ambapo mku wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kufika katika ofisi za Clouds Media akiwa na askari waliokuwa na silaha (kama inavyoonesha video iliyorekodiwa na kamera za CCTV) akionekana kuwa alikwenda kuhakikisha masuala fulani yanafanyika kwa lazima japo haijafahamika kuwa alikwenda kufanya nini hasa katika mazingira yale.
Baada ya tukio hilo leo uongozi umetoa taarifa kwa umma juu ya mkasa huo na maamuzi yao

0 comments:

Chapisha Maoni