Jumatatu, Machi 13, 2017

KOCHA MAYANGA AMETANGAZA KIKOSI KIPYA CHA TAIFA STARS

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga (kushoto), akitangaza kikosi cha nyota 26 wa timu hiyo mbele ya wanahabari leo. Kulia ni Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas.
Kikosi kipya cha Stars cha kocha Mayanga akiwa hajawajumuisha wachezaji wa zanzibar ambao wanasubiri hatima ya nchi yao kupewa uanachama na shirikisho la soka Africa CAF march 16 mwaka huu
Makipa; Aishi Manula (Azam), Deogratius Munishi ‘Dida’ (Yanga) na Said Mohammed (Mtibwa Sugar).
Mabeki; Shomary Kapombe (Azam), Hassan Kessy (Yanga), Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ (Simba), Gardiel Michael (Azam), Andrew Vincent (Yanga), Salim Mbonde (Mtibwa Sugar), Abdi Banda (Simba) na Erasto Nyoni (Azam FC).
Viungo ni Himid Mao (Azam), Jonas Mkude (Simba), Salum Abubakar ‘Sure Boy’ (Azam), Said Ndemla (Simba), Frank Domayo (Azam), Muzamil Yassin (Simba), Simon Msuva (Yanga), Shiza Kichuya (Simba), Farid Mussa (DC Tennerife) na Hassan Kabunda (Mwadui FC).
Washambuliaji ni Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji), Thomas Ulimwengu (AFC Eskilstuna, Sweden), Ibrahim Hajib (Simba), Mbarak Yussuf (Kagera Sugar) na Abdulrahman Mussa (Ruvu Shooting)

0 comments:

Chapisha Maoni