Jumatano, Februari 22, 2017

KILICHOANDIKWA LEO KATIKA MAGAZETI YA MWANANCHI, NIPASHE, MTANZANIA NA HABARI LEO

NIPASHE
  • Unyama unyama...OC-CID wa polisi, washirika wawili walivyouawa kikatili na watu waliotokomea msituni bila kupora
  • Mwenye simu anavyoweza kuhama mtandao na namba
  • Dhamana ya Agnes Masogange mil. 10 kortini
  • Wageni 14 wa Quality Group kortini
  • Ushahidi kesi ya Scorpion
  • Maiti zazua taharuki
  • Viongozi wa dini Dar wamwombea
  • Lwandamina atamba Simba haitachomoka...Asema ni jambo lisilowezekana kwake kupoteza kupotezamchezo na Simba mara mbili
  • Simba yamaliza kazi Zanzibar
  • Rooney ajiandaa kuondoka wiki ijayo

MTANZANIA
  • Wanafunzi 8,430 vyuo vikuu hawana sifa
  • Masogange kortini kwa tuhuma za kula 'unga'
  • Kachero polisi auawa na majambazi
  • Fedha za 'Unga' zinaweza kuendesha nchi miaka 30
  • Majina ya wanafunzi wasiokuwana sifa waliotangazwa na TCU
  • ZANACO nawaona nawaonamnakulatu ubuyu...washusha 'mashilawadu' kuisoma Yanga Taifa
  • Mechi ya Simba, Yanga presha kwa waamuzi
  • Nape kuzindua mfuko kuchangia Twiga, Serengeti
  • Juma Kaseja aibuka mchezaji bora Januari
  • Lulu Diva: Siku tano polisi nimejifunza mengi

MWANANCHI
  • Bosi polisi alivyouawa akiwavaa polisi
  • TCU yapeleka kilio kwa maelfu ya wanafunzi vyuo kikuu
  • Mawakili wa Manji wasimamisha usajili wa Tigo soko la hisa
  • Misukosuko ya wapinzani Afrika yamkuta Mbowe
  • DC Chema acharaza viboko wanafunzi saba
  • Jinsi Makonda anavyompatia rais Magufuli
  • TCRA: Huwezi kuhama mtandao kama unadaiwa
  • Yanga SC yatikisa Kimbiji
  • Kocha Omog: Upande wa Msuva balaa

HABARI LEO
  • Wanafunzi 7000 vyuo vikuu matatani
  • Mauaji ya polisi Pwani yahusishwa na ugaidi
  • Masogange kortini kwa tuhuma za kubwia 'unga'
  • Simba, Yanga kufia uwanjani
  • Kaseja mchezaji bora Januari
  • Polisi yajifua kwa netiboli A. Mashariki

0 comments:

Chapisha Maoni