Alhamisi, Aprili 07, 2016

MABASI MAWILI KUWASAFIRISHA WAALIMU NA WANAFUNZI BURE MTWARA

Mbunge wa Mtwara Mjini nchini Tanzania Maftaha Nachuma amenunua mabasi mawili kwa ajili ya usafiri wa walimu na wanafunzi katika jimbo kwake bure kwa lengo la kuwezesha kuinua kuwango cha elimu jimboni kwake.
Vyombo vya habari nchini humo vinasema Mbunge huyo pia ameanzisha program inayoitwa ''Maftaha English Learning Program'' ili kuwezesha vijana ambao walifeli waweze kufundishwa tena kiingereza.

0 comments:

Chapisha Maoni