Alhamisi, Machi 31, 2016

WABUNGE WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMANI NA TAKUKURU, NI LUGOLA, MWAMBALASWA NA MURAQ

Wabunge 3 Victor Mwambalaswa, Kangi Lugola na Sadiq Murad, wafikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa.
TAKUKURU ilitangaza kufanyia uchunguzi tuhuma za baadhi ya wabunge kupokea rushwa

0 comments:

Chapisha Maoni