Jumamosi, Machi 05, 2016

CHAKULA CHA KAWAIDA KWA WAJAWAZITO KINAWEZA KUKIDHI MAHITAJI YA VIRUTUBISHO YA WATOTO TUMBONI

Watafiti wa Australia wamesema, kama kula chakula kingi zaidi kuliko kabla ya kupata ujauzito, mwili wake pia utaweza kupata kalori nyingi zaidi na kukidhi mahitaji ya virutubisho ya watoto tumboni.
Watifiti wa chuo kikuu cha New South Wales cha Australia walitumia teknolojia mpya kufuatalia wajawazito 26. Katika upande wa chakula, wajawazito hao hawakula chakula kingi zaidi kuliko kabla ya kupata ujauzito, lakini kalori walizozipata ziliongezeka kwa asilimia 8, uzito wa wastani uliongezeka kwa kilogramu 10.8.
Watafiti wamesema, baada ya kupata ujauzito, uwezo wa wanawake wa kupata vitubisho kutoka chakula unaongezeka, hivyo wajawazito hawakukula kingi lakini waliweza kunenepa.
Matokeo ya utafiti huo umekanusha maoni ya jadi kuhusu wajawazito wanatakiwa kula chakula kingi zaidi, na kurekebisha orodha ya vyakula ya wajawawazito.

0 comments:

Chapisha Maoni